Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu pamoja na
viongozi wengine akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi
ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu mara baada ya kuweka jiwe la msingi la
ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
maeneo mbalimbali ya hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe ambayo ujenzi
wake upo katika hatua za mwisho kukamilika.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wafanyakazi mbalimbali, pamoja na wakandarasi wanaojenga majengo
katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe mara baada ya kuweka jiwe la
msingi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole
Sendeka, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu pamoja na viongozi wengine mara
baada ya ya kuweka jiwe la msingi katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa
Njombe.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta
utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya
Njombe-Makete km 107.4
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiimba
pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Ramadhani wakati alipokwenda
kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Njombe-Makete km 107.4.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Ramadhani walipokuwa wakimuonesha Shule
yao ilipo pembezoni mwa barabara ya Njombe-Makete. Mkandarasi wa
barabara hiyo amewaahidi watoto hao kuwajengea vyumba vya madarasa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Wananchi waishio pembezoni mwa barabara ya Njombe-Makete mara baada
ya kuiwekea jiwe la msingi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Wananchi wa Njombe katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika
viwanja vya sabasaba mkoani Njombe.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu
akisikiliza maelezo yaliokuwa yakitolewa na Dkt. Mkoni kuhusu ujenzi wa
Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe kabla ya kuweka jiwe la msingi
hospitalini hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono pamoja na kuwasukuru wanachi wa Njombe waliojitokeza katika
mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Sabasaba mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia jengo hilo la hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.
Baadhi ya wakazi wa Njombe wakiwa katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya sabasaba.
Sehemu ya jengo la la hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment