WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI WA WILAYA YA KIBONDO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Elimu, Sayansi
na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako wakati alipozungumza na
watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo kwenye ukumbi wa
Halmashauri hiyo, Februari 19, 2019.
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo wakimsikiliza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa
Halmashauri ya wilaya ya Kibondo, Februari 19, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya
wilaya ya Kibondo kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo, Februari 19, 2019.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel
Maganga.
No comments:
Post a Comment