Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof
Palamagamba Joh Kabudi akisaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa
Zimbabwe uliopo jijini Dar es Salaam,Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof
Palamagamba Joh Kabudi akisaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa
Zimbabwe uliopo jijini Dar es Salaam,Tanzania huku kaimu Balozi wa
Zimbabwe hapa Nchini Bw. Martin Tvenyika akishuhudia.
Kaimu
Balozi wa Tanzania hapa nchini Bw Martin Tvenyika akimuonesha Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Palamagamba John
Kabudi katika ramani maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko yaliyotokana na
Kimbunga Idai nchini humo.
No comments:
Post a Comment