Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle
akimkaribisha Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano
Elias Kwandikwa kushoto alipowasili kufungua kikao cha baraza la
wafanyakazi wa wakala huo kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee
jijini Dar es Salaam.
Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle
akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la wafanyakazi wa wakala huo
kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam ambapo
mgeni rasmi alikua Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Elias Kwandikwa kushoto.
Naibu
Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kwandikwa akisoma
hotuba wakati akifungua kikao cha Baraza la wafanyakazi wa Wakala wa
Ufundi na Umeme (TEMESA) kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini
Dar es Salaam.
Naibu
Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kwandikwa (wa
tatu kushoto) na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)
Mhandisi Japhet Y. Maselle (wa nne kulia) wakiimba wimbo maalumu wa
wafanyakazi wa Mshikamano daima pamoja na viongozi wa Wakala wa Ufundi
na Umeme (TEMESA) wakati wa kikao cha Baraza la wafanyakazi wa wakala
huo kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya mameneja wa mikoa wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakisikiliza
mada zilizokuwa zikitolewa wakati wa kikao cha Baraza la wafanyakazi wa
wakala huo kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
Salaam ambacho kilihudhuriwa na Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi
na Mawasiliano Elias Kwandikwa.
Naibu
Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kwandikwa akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi waandamizi wa Wakala wa
Ufundi na Umeme (TEMESA) mara baada ya kumaliza kikao cha Baraza la
wafanyakazi wa wakala huo kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee
jijini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA ALFRED MGWENO (TEMESA)
No comments:
Post a Comment