Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali. Wilbert Ibuge akiendesha Mkutano wa dharura
kwa njia ya video ambao unawahusisha Maafisa Waandamizi Nchi Wanachama wa
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kuhusu mwenendo ya
mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Corona (Covid-19), mkutano ambao umefanyika
katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam,
Tanzania, wengine ni Makataibu Wakuu na Maafisa kutoka Wizara mbalimbali.
Picha na Idara ya Habari-MAELEZO.
|
No comments:
Post a Comment