Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Wabunge Wateule wa CCM
mara baada ya kuzungumza nao katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini
Dodoma tarehe 09 Novemba 2020 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wabunge
Wateule wa CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma
tarehe 09 Novemba 2020.
No comments:
Post a Comment