Tuesday, July 31, 2018
Monday, July 23, 2018
SIKU YA TATU ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MKOANI SONGWE-TUNDUMA 23/7/201
Sehemu ya Umati wa wakazi wa Tunduma waliojitokeza kumsikiliza Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan |
RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA MAGAWIO TOKA KATIKA TAASISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YA UMMA.JULAI 23,2018
RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI PAMOJA NA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA LEE NAK-YEON WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SELANDER IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.JULAI 23,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon mara baada ya tukio la utiaji saini wa mradi wa ujenzi wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia katika Hospitali ya Agha Khan mpaka Coco beach jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-Yeon mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. |
Wednesday, July 11, 2018
RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUAGANA NA MABALOZI WATATU WALIOMALIZA MUDA WAO HAPA NCHINI.JULAI 11,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Sweden hapa nchini anayemaliza muda wake Katarina Rangnitt mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatambulisha Baadhi ya Viongozi (hawaonekani pichani ) kwa Balozi wa Sweden hapa nchini anayemaliza muda wake Katarina Rangnitt mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Sweden hapa nchini anayemaliza muda wake Katarina Rangnitt mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mchumi kutoka Ubalozi wa Sweden True Schedvin
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Balozi wa Sweden hapa nchini anayemaliza muda wake Katarina Rangnitt mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mchumi kutoka Ubalozi wa Sweden True Schedvin
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi Balozi wa Norway anayemaliza muda wake hapa nchini Hanne-Marie Kaarstad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Norway anayemaliza muda wake hapa nchini Hanne-Marie Kaarstad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Norway anayemaliza muda wake hapa nchini Hanne-Marie Kaarstad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KATIKA OFISI NDOGO ZA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM.JULAI 10,2018
wa chama cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally alipowasili kwaajili ya kikao cha Kamati kuu katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam.Julai 10,2018
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally kabla ya kikao cha Kamati kuu kuanza katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam.Julai 10,2018.
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipiga makofi na wajumbe wengine mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa kikao cha Kamati kuu katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam.Julai 10,2018.
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akitoa vitendea kazi mara baada ya kuwasili katika kikao cha Kamati kuu katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam.Julai 10,2018.
Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally akizungumza katika kikao cha Kamati kuu kilichofanyika katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam.Julai 10,2018.
Subscribe to:
Posts (Atom)