Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe
(kulia) akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Kazi, Vijana
na Ajira), Anthony Mavunde, bungeni jijini Dodoma.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye
Ulemavu, Jenista Mhagama akizunguma na Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent
Bashungwa, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.
Phillip Mpango, bungeni jijini Dodoma.
Mbunge wa zamani, Semindu Pawa akitambulishwa bungeni jijini Dodoma.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na walimu na wanafunzi wa Shule ya
Sekondari ya Ufundi ya Kilosa mkoani Morogoro kwenye viwanja vya bunge
jijini Dodoma.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na
wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Monica ya Arusha kwenye viwanja
vya Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2019. Kushoto kwake ni Mbunge wa
Viti Maalum, Cecilia Pareso na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mwalimu Mkuu
wa shule Msaidizi, Sista Colletah.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mwanafunzi wa darasa la sita
katika Shule ya Msingi ya Assumption ya Arusha, Ritta Deo Moshi kwenye
viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2019. Mtoto huyo na wenzake
walikwenda bungeni kujifunza shughuli mbalimbali za Bunge. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment