Wakazi
wa Kijiji na Kata ya Namiungo Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma hivi
karibuni wakishughudia kuanza kwa zoezi la uchimbaji wa visima vya maji
kijijini hapo kutoka kwa shirika lisilo la kiserikali la Safe Water for
Life and Diginity (SWLD) kutoka nchini Marekani.
Zoezi
la uchimbaji wa visima vya maji likiendelea katika Kijiji na Kata ya
Namiungo Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma kutoka kwa shirika lisilo la
kiserikali la Safe Water for Life and Diginity (SWLD) kutoka nchini
Marekani wengine ni wakazi wa kijiji hicho hivi karibuni wakishuhudia
zoezi hilo.
Mkazi
wa Kijiji na Kata ya Namiungo Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma Rehema
Mohamedi hivi karibuni akizungumzia changamoto ya maji inayowakabili
wakazi hao baada ya waandishi wa habari kutembelea kijijii hapo hivi
karibuni. (FATNA MWINYIMKUU)
No comments:
Post a Comment