Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John
Pombe Magufuli akiwaelekeza Wananchi namna ya kumpigia Kura yeye pamoja
na Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Karatasi ya
kupigia Kura katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika
viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga leo tarehe 20 Oktoba
2020
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Korogwe katika mkutano wa
Kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe
mkoani Tanga leo tarehe 20 Oktoba 2020.
Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwasalimia Wananchi wa Korogwe mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa Mkutano wa Kampeni leo tarehe 20 Oktoba 2020.
Sehemu
ya Wananchi wa Korogwe waliohudhuria mkutano wa Kampeni za Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Muheza Hamisi Mwinyjuma Mwana FA na Mausa Sama wakiimba jukwaani katika mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Ualimu Korogwe.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk John Pombe Magufuli akimvisha kofia msanii Kassim Mganga.
No comments:
Post a Comment