Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan leo tarehe 19 Juni, 2021
amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya katika Mikoa ya Tanzania Bara kama
ifuatazo:-
Mkoa
wa Arusha (1).
1. Sophia Edward Mjema kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha.
2. Eng. Richard Henry Ruyango kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Arumeru.
3. Raymond Stephen Mangwala kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Ngorongoro.
4. Nurdin Hassan Babu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido.
5. Frank James Mwaisumbe kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Monduli.
6. Abbas Juma Kayanda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu.
Mkoa
wa Dar es Salaam (2).
7.Godwin Crydon Gondwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kinondoni.
8. Ng’wilabuza Ndatwa Ludigija kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Ilala.
9. Jokate Urban Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
10.Fatma Almas Nyangasa kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kigamboni.
11.Kherry Denis James kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo.
Mkoa
wa Dodoma (3).
12.Gift Isaya Msuya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chamwino.
13.Jabir Mussa Shekimweri kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Dodoma.
14.Simon Kemori Chacha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chemba.
15.Khamis Athumani Mkanachi kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kondoa.
16.Mwanahamisi A. Munkunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi.
17.Josephat Paul Maganga kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Mpwapwa.
18.Remedius Mwema Emmanuel kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kongwa.
Mkoa
wa Geita (4).
19. Said Juma Nkumba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukombe.
20. Eng. Charles Francis Kabeho kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Mbogwe.
21.Jamuhuri David William kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Nyang’hwale.
22. Wilson Samwel Shimo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita.
23.Martha John Mkupasi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato.
Mkoa
wa Iringa (5).
24.Saada Ahmed Mtambule kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi.
25. Peres Boniphace Magiri kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kilolo.
26. Mohamed Hassan Moyo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa.
Mkoa
wa Kagera (6).
27.Kemirembe R. Lwota kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Biharamuro.
28.Juliet Banyula Nkebanyi kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Karagwe.
29.Toba Alnason Nguvila kuwa Mkuu wa Wilaya ya Muleba.
30. Rashid Mwaimu Mohamed kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kyerwa.
31.Moses Joseph Machali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba.
32.Col. Mathias Julius Kahabi kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Ngara.
33.Col. W.C. Sakullo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Misenyi.
Mkoa
wa Katavi (7).
34.Filberto Hassan Sanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mlele.
35. Jamila Yusuph Kimaro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpanda.
36. Onesmo Mpuya Buswelu kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Tanganyika.
Mkoa
wa Kigoma (8).
37.Ester Alexander Mahawe kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kigoma.
38.P 8608 Col. I. A. Mwakisu kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kasulu.
39.Col. E. M. Malasa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kakonko.
40. Hanafi Hassan Msabaha kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Uvinza.
41.Col. Michael Masala Nyayalina kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Buhingwe.
42. P 8310 Col. A. J. Magwaza kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kibondo.
Mkoa
wa Kilimanjaro (9).
43.Thomas Cornel Apson kuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha.
44. Said Mtanda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi.
45. Abdallah Mussa Mwaipaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Mwanga.
46.Col. H. M. Maiga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rombo.
47. Juma Said Irando kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai.
48.Edward Jonas Mpogolo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Same.
Mkoa
wa Lindi (10).
49.Hashim Abdallah Komba kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Nachingwea.
50. Hassan Nassor Ngoma kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa.
51. Judith Martin Nguli kuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale.
52. Shaibu Issa Ndemanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Lindi.
53.Zainab Rashid Mfaume Kawawa kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kilwa.
Mkoa
wa Manyara (11).
54.Lazaro Jacob Twange kuwa Mkuu wa Wilaya ya Babati.
55. Sezaria Venneranda Makota kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Mbulu.
56. Janeth Peter Mayanja kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hanang
57.Mbaraka Alhaji Batenga kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kiteto.
58.Dkt. Suleiman Hassan Serera kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Simanjiro.
Mkoa
wa Mara (12).
59.Juma Issa Chikoka kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rorya.
60. Dkt. Vicent Mashinji kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Serengeti.
61. Joshua Samwel Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda.
62. Mwl. Moses Rudovick Kaegele kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Butiama.
63. Lt. Col. Michael Mangwela Mtenjele kuwa Mkuu wa
Wilaya ya Tarime.
64. Dkt. Halfan Haule kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma.
Mkoa
wa Mbeya (13).
65.Mayeka Simon Mayeka kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chunya.
66. SACP. Ismail Twahir Mlawa kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kyela.
67. Dkt. Rashid Chuachua kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya.
68. Dkt. Vicent Naano Anney kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Rungwe.
69.Reuben Ndiza Mfune kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbarali.
Mkoa
wa Morogoro (14).
70. Jabir Omary Makame kuwa Mkuu wa Wilaya ya Gairo.
71. Hanji Yusuph Godigodi kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kilombero.
72. Halima Habib Okash kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero.
73.Albert Msando kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro.
74. Ngollo Ng’waniduhu Malenya kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Ulanga.
75. Majid Hemed Mwanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa.
76. Mathayo Francis Masele kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Malinyi.
Mkoa
wa Mtwara (15).
77.Mwangi Rajab
Kundya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Newala.
78. Mariam Khatib Chaurembo kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Nanyumbu.
79. Dunstan Dominick Kyobya kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Mtwara.
80. Claudia Undalusyega Kitta kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Masasi.
81. Col. Patrick K. Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Tandahimba.
Mkoa
wa Mwanza (16).
82. Hassan Elias Massalla kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Ilemela.
83. Johari Mussa Samizi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kwimba.
84. Senyi Simon Ngaga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sengerema.
85. Amina Makilagi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana.
86. Salum Hamis Kalli kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu.
87. Col. Denis Filangali Mwila kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Ukerewe.
88. Veronika Arbogast Kessy kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Misungwi.
Mkoa
wa Njombe (17).
89. Kisa Gwakisa
Kasongwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe.
90. Andrea Axwesso Tsere kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ludewa.
91. Lauter John Kanoni kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Wanging’ombe.
92. Juma Samwel Sweda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Makete.
Mkoa
wa Pwani (18).
93.Zainab Abdallah Issah kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Bagamoyo.
94. Khadija Nassir Ali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga.
95. P 10699 Capt. Gowelle kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Rufiji.
96. Martin Stephen Ntemo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mafia.
97. Sara Ally Msafiri kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha.
98. Nickson Simon John kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
99.P 8189 Col. Ahmed A. A kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kibiti.
Mkoa
wa Rukwa (19).
100.Sebastian Muungano Waryuba kuwa Mkuu wa Wilaya
ya Sumbawanga.
101. Peter Ambrose Lijuakali kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Nkasi.
102. Tano Seif Mwera kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo.
Mkoa
wa Ruvuma (20).
103. Julius Keneth Ningu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo.
104. Aziza Ally Mangosango kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Mbinga.
105. P 8819 Col. L. E Thomas kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Nyasa.
106. Julius Sunday Mtatiro kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Tunduru.
107. Polotet Kamando Mgema kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Songea.
Mkoa
wa Shinyanga (21).
108. Joseph Modest Mkude kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kishapu.
109. Jasinta Venant Mboneko kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Shinyanga.
110. Festo Kiswaga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama.
Mkoa
wa Simiyu (22).
111. Gabriel Zakaria Olemegili kuwa Mkuu wa Wilaya
ya Busega.
112. Aswege Enock Kaminyoge kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Maswa.
113. Dkt. Charles Mhina kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Bariadi
114. Fauzia Hamidu Ngatumbura kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Meatu.
115. Faiza Suleiman Salim kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Itilima.
Mkoa
wa Singida (23).
116. Sophia Mfaume Kizigo kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Mkalama.
117. Rahabu Jackson Mwagisa kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Manyoni.
118. Paskasi Damian Murangili kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Singida.
119. Jerry Cornel Muro kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Ikungi.
120. Kenan Laban Kihongozi kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Iramba.
Mkoa
wa Songwe (24).
121. Simon Peter Simalenga kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Songwe.
122. Anna Jerome Gidarya kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Ileje.
123. Cosmas Isuna Nshenye kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Mbozi.
124. Fack Raphael Lulandala kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Momba.
Mkoa
wa Tabora (25).
125. ACP. Advera John Bulimba kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Nzega.
126. Matiko Paul Chacha kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kaliua.
127. Sauda Salum Mtondoo kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Igunga.
128. John Ernest Pallingo kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Sikonge.
129. Dkt. Yahya Ismail Nawanda kuwa Mkuu wa Wilaya
ya Tabora.
130. Louis Peter Bura kuwa Mkuu wa Wilaya ya Urambo.
131. Kisare Matiku Makori kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Uyui.
Mkoa
wa Tanga (26).
132. Hashim Shaibu Mgandilwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Tanga.
133. Halima Abdallah Bulembo kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Muheza.
134. P 8576 Col. M. H Surumbu kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Mkinga.
135. Ghaibu Buller Lingo kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Pangani.
136. Siriel Mchembe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni.
137. Basilla Kalubha Mwanukuzi kuwa Mkuu wa Wilaya
ya Korogwe.
138. Abel Yeji Busalama kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kilindi.
139. Kalist Lazaro Bukhay kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Lushoto.
Wakuu wa Wilaya wateule wataapishwa kuanzia tarehe 21 Juni, 2021 saa nne (4)
asubuhi na Wakuu wa Mikoa yao.
Jaffar Haniu
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu.