Matokeo chanyA+ online




Tuesday, July 3, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA VIONGOZI WAKUU NA VIONGOZI WASTAAFU IKULU DAR ES SALAAM JULAI, 3 2018


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu Kiiongozi Balozi John Kijazi akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam ili kukutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya viongozi wakuu na viongozi wastaafu ambao anakutana nao kwa mara ya kwanza wote kwa pamoja.
Viongozi Wakuu wastaafu wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam tayari kukutana na kuzungumza na mwenyeji wao Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliyewaalika.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilali.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Waziri Mkuu Mstaafu, John Samuel Malecela.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mtaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume.


Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya.











Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Wakuu mbalimbali wakiwemo, Marais Wastaafu, Makamu wa Rais Wastaafu, Mawaziri Wakuu Wastaafu, Maspika Wastaafu na Majaji Wakuu Wastaafu mara baada ya kuzungumza nao Ikulu jijini Dar es Salaam. Waliokaa mstari wa mbele ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi,(watatu kutoka kushoto), Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamini Mkapa(watatu kutoka kulia) Waziri Mkuu Msaafu Cleopa David Msuya wapili kutoka kulia, Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume wapili kutoka kushoto, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Spika wa Bunge Job Ndugai. Waliosimama mstari wa nyuma kutoka kulia kuja kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Jaji Mkuu Mstaafu Agustino Ramadhan, Spika Mstaafu Mama Anna Makinda, Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela, Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye, Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta, Spika wa Bunge mstaafu Pius Msekwa, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowwasa, Makamu wa Rais Mstaafu Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu mstaafu Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu Msatafu Mizendo Pinda pamoja na Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Othman Chande.Julai 3,2018



Monday, July 2, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Makame Mnyaa Mbarawa kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kailima Ramadhani kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Eng. Isack Kamwelwe kuwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Thomas Mihayo kuwa Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Omar Ramandani Mapuri kuwa Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Viongozi mbalimbali walioapishwa wakila Kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Viongozi mbalimbali walioapishwa wakitia saini viapo vyao vya maadili kwa Viongozi wa Umma mara baada ya kuapa.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA KITABU CHA DKR.REGNALD MENGI.JIJINI DAR ES SALAAM.JULAI 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi kitabu cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.


Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Alhaji Ali Hassan Mwinyi akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kitabu cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimpongeza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media Dkt.Regnald Mengi mara baada ya kumaliza kuzumgumza katika hafla ya uzinduzi wa kitabu chake kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa kitabu cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Binti Wakonta Kapunda mlemavu aliyeshinda tuzo ya mashindano ya wazo la biashara lililoandaliwa na  Mwenyekiti wa Makampuni  IPP Limited Dkt.Regnald Mengi   mara baada yaa kukizundua rasmi kitabu cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.




SISI TUNAWEZA KULIJENGA TAIFA TUNAVYOTAKA