RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA ANNA ELISHA MGWIRA, MKUU MPYA WA MKOA WA KILIMANJARO JUNE 6, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Anna Elisha Mgwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es
salaam June 6, 2017
Mkuu
wa mkoa kilimanjaro Anna Elisha Mgwira akisoma hati ya kiapo cha
maadili ya utumishi wa umma mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es
salaam June 6, 2017
Mkuu
wa mkoa kilimanjaro Anna Elisha Mgwira akisaini hati ya kiapo cha
maadili ya utumishi wa umma mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es
salaam June 6, 2017
Mkuu
wa mkoa kilimanjaro Anna Elisha Mgwira akiongea jambo la shukrani
mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
jambo mara baada ya kumuapisha Anna Elisha Mgwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Baadhi
ya viongozi mabilimbali waliohudhuria kwenye uapisho Mkuu wa Mkoa wa
kilimanjaro Anna Elisha Mgwira alipoapishwa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam
June 6, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Anna Elisha Mgwira Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kumuapisha
Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa
akimpongeza Anna Elisha Mgwira Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baada
ya kuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akimpongeza Anna Elisha
Mgwira Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baaya ya kuapishwa Ikulu jijini
Dar es salaam June 6, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha
Mgwira Mkuu mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6,
2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna
Elisha Mgwira na viongozi mbalimbali ya serikali mara baada ya
kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Rodrick Mpogoro akimkabidhi Mkuu wa
Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mgwira Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa
ajili ya Mkuu wa Mkoa huyo kwenda kuitekeleza ilani hiyo katika kazi
yake ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kuapisha Ikulu jijini
Dar es salaam June 6, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mgwira kwa ajili ya kwenda
kuanza kazi yake mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam
June 6, 2017
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mgwira akiingia kwenye gari lake
kwa ajili ya kwenda kuanza kazi yake Mkoani kilimanjaro mara baada ya
kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
No comments:
Post a Comment