Matokeo chanyA+ online




Monday, October 16, 2017

AGIZO LA RAIS KUJIUNGA NA MFUMO WA TRA WA MALIPO KIDIGITALI HADI OKTOBA 16 2017 NI MABENK 5 TU KATI YA 45 YALIYO TIMIZA KWA 100% AGIZO HILO

BANK M,CANARA BANK,CHINA BANK,EXIM BANK,HABIB BANK hawa ndio waliotekeleza 100% agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alilolitoa Juni 1 2017 kujiunga na Dirisha la ulipaji kodi kidigitali



No comments:

Post a Comment