Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Benno Ndulu akielezea mikakati ya mpango huo wakati wa uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha katika ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji akitolea ufafanuzi juhudi za wizara yake wakati wa uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha katika ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es Salaam.
Wageni waalikwa waliohudhuria katika uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha katika ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti TBA, Mjumbe Baraza la Taifa mpango huduma jumuishi za kifedha, Dkt. Charles Kimei akitoa salamu zake za shukrani kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim kwa kuweza kuwazindulia Mpango wa Pili wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha katika ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amenyanyua kitabu cha mpango kazi wakati wa Mpango wa Pili wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha katika ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es Salaam. Pembeni kulia ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, mwingine kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James na Gavana Mpya wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof Florens Luoga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kitambu cha mpango kazi, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James wakati wa Mpango wa Pili wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha katika ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es Salaam. Pembeni ni Gavana Mpya wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof Florens Luoga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kitabu cha mpango kazi, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Benno Ndulu wakati wa uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha katika ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Gavana Mpya wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof Florens Luoga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi kwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Benno Ndulu wakati wa uzinduzi wa Mpango wa Pili wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Kifedha katika ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment