Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi (aliekaa kushoto) akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira Na Walemavu Jenista Mhagama , Waziri wa Mambo ya Nje na Ushikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Adelardus Kilangi wakizungumza kabla ya kuanza kwa kikao cha Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma Mach 9, 2018 |
No comments:
Post a Comment