Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly wakishuhudia utiaji
saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme megawati 2100
katika mto Rufiji kati ya Waakilishi wa Kampuni ya J.V Arab
Contractors/El Sewedy Electric kushoto pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa
Waakilishi wa Shirika la Umeme nchini Tanesco Dkt. Tito Mwinuka wapili
kutoka kulia akifatiwa na Mwanasheria wa Shirika hilo Isdori Nkindi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly mara baada ya
kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mazungumzo na
kushuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme
megawati 2100 katika mto Rufiji.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly wakishuhudia utiaji
saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme megawati 2100
katika mto Rufiji kati ya Waakilishi wa Kampuni ya J.V Arab
Contractors/El Sewedy Electric pamoja na Waakilishi wa Shirika la Umeme
nchini Tanesco.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly, Waziri wa Nishati
Medard Kalemani wakipiga makofi wakati waakilishi wa Kampuni ya J.V Arab
Contractors/El Sewedy Electric kushoto pamoja na Waakilishi wa Shirika
la Umeme nchini Tanesco wakionesha vitabu vya mikataba hiyo Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly akizungumza na wageni mbalimbali Ikulu
jijini Dar es Salaam mara baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa
Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme megawati 2100 katika mto Rufiji.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi mara baada ya
kushuhudia tukio la kihistoria la utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa
Mradi wa kuzalisha umeme megawati 2100 katika mto Rufiji ambao
utagharimu zaidi ya kiasi cha Shilingi za kitanzania Trilioni 6.

mgeni wake Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly kabla ya tukio la la
kihistoria la utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme
megawati 2100 katika mto Rufiji ambao utagharimu zaidi ya kiasi cha
Shilingi za kitanzania Trilioni 6.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly katika picha ya pamoja
na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Jaji
Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Spika wa Bunge Job Ndugai pamoja na Katibu
Mkuu wa CCM Bashiru Ally.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na mgeni wake Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly
pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly pamoja na Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa wakati wakielekea kwenye Ukumbi wa Kikwete Hall kwa
ajili ya hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha
umeme megawati 2100 katika mto Rufiji ambao utagharimu zaidi ya kiasi
cha Shilingi za kitanzania Trilioni 6
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly katika picha ya pamoja
na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Jaji
Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Spika wa Bunge Job Ndugai pamoja na Katibu
Mkuu wa CCM Bashiru Ally. Wengine katika picha mstari wa nyuma ni
Mawaziri kutoka Tanzania na Misri.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry mara
baada ya hafla ya utiaji saini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly katika picha ya pamoja
na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Jaji
Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Spika wa Bunge Job Ndugai pamoja na Katibu
Mkuu wa CCM Bashiru Ally pamoja na Viongozi mbalimbali wa Dini.
No comments:
Post a Comment