Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akizungumza
na Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women)
kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs
juu ya mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia Ofisini kwake
Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa
akifafanaua jambo kwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa
Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi.
Izeduwa Derex-Briggs(kulia kwake ) na Mwakilishi wa Shirika la Wanawake
la Umoja wa Mataifa (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou(wa Tatu kulia) juu ya
mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia Ofisini kwake Jijini
Dodoma.
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akiongoza
kikao cha kujadili juu ya mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na
jinsia.Kikao hicho kimeudhuriwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake
cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa
Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs(kulia kwake ) na Mwakilishi wa Shirika
la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou.Mradi huo wa
miaka mitatu ambapo Tanzania itapata bilioni mbili ili kuzalisha
takwimu zinazohusiana na jinsia.
Wajumbe
kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakifuatilia kikao kati yao na
Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa
Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs(kulia
kwake ) na Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN
WOMEN) Bi. Hodan Addou ) juu ya mradi wa kuzalisha takwimu
zinazohusiana na jinsia leo Jijini Dodoma.
Wajumbe
kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakifuatilia kikao kati yao na
Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa
Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs(kulia
kwake ) na Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN
WOMEN) Bi. Hodan Addou ) juu ya mradi wa kuzalisha takwimu
zinazohusiana na jinsia leo Jijini Dodoma. Picha zote na DAUDI MANONGI,
DODOMA
No comments:
Post a Comment