Spika
wa Bunge la Afrika Mashariki, Martin Ngoga (katikati) akipokea picha
maalum yenye kuonyesha uhalisia wa Mtoto Njiti, kutoka kwa Muanzilishi
wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini, Doris
Mollel (kulia) mara baada ya kukutana na kuzungumzia mambo mbalimbali
yanayohusu hali ya Watoto Njiti kwa ukanda wa Afrika Mashariki, katika
kikao kilichofantika kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar
mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Daktari bingwa wa watoto wachanga kutoka
Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Augustine Massawe aliyeambatana na
Taasisi hiyo.
Spika
wa Bunge la Afrika Mashariki, Martin Ngoga (wa pili kulia) akizungumza
na waandishi wa habari baada ya kukutana na Taasisi ya Doris Mollel
kuzungumzia mambo mbalimbali yanayohusu hali ya Watoto Njiti kwa ukanda
wa Afrika Mashariki, katika kikao kilichofantika kwenye ukumbi wa Baraza
la Wawakilishi, Zanzibar mwishoni mwa wiki. Wa pili kushoto ni
Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini,
Doris Mollel na kulia ni Daktari bingwa wa watoto wachanga kutoka
Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Augustine Massawe aliyeambatana na
Taasisi hiyo.
Muanzilishi
wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini, Doris
Mollel akizungumza jambo wakati wa kikao na Spika wa Bunge la Afrika
Mashariki, Martin Ngoga, kuzungumzia mambo mbalimbali yanayohusu hali ya
Watoto Njiti kwa ukanda
wa Afrika Mashariki, katika kikao kilichofantika kwenye ukumbi wa Baraza
la Wawakilishi, Zanzibar mwishoni mwa wiki.
Daktari
bingwa wa watoto wachanga kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt.
Augustine Massawe akizungumza wakati akitolea ufafanuzi hali ya Watoto
Njiti katika kikao cha pamoja na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki.








No comments:
Post a Comment