Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
Tumbaku ambayo ipo tayari kwa kuuzwa alipotembelea pamoja na Rais wa
Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika katika eneo la Kanengo
Jijini Lilongwe kabla ya kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara
Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.
Tumbaku ambayo ipo tayari kwa kuuzwa katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli
akikagua Tumbaku ambayo ipo tayari kwa kuuzwa alipotembelea katika eneo
la Kanengo Jijini Lilongwe kabla ya Rais Dkt.John Pombe Magufuli na Rais
wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika kuzindua rasmi msimu
wa Soko la biashara Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishangiliwa na Wanawake wa Lilongwe waliojitokeza katika eneo la
Kanengo Jijini Lilongwe kumlaki mara baada ya kukagua Tumbaku ambayo
ipo tayari kwa kuuzwa alipotembelea pamoja na Rais wa Jamhuri ya Malawi
Prof. Arthur Peter Mutharika kabla ya kuzindua rasmi msimu wa Soko la
biashara nchini Malawi.Aprili 25, 2019.
Watanzania
wanaoishi nchini Malawi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kukagua Tumbaku
alipotembelea katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe pamoja na Rais wa
Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika kabla ya kuzindua rasmi
msimu wa Soko la biashara nchini Malawi.Aprili 25, 2019.
Sehemu
ya Wananchi wa Malawi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli huku mmoja akionyesha Picha yake
wakati wa Sherehe ya Uzinduzi wa msimu wa Soko la biashara ya Tumbaku
katika shehere zilizofanyika Kanengo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika,Mama Janeth Magufuli, Prof.Gertrude Mutharika Mke wa Rais wa Malawi huku wimbo wa Taifa wa Malawi Ukipigwa wakati wa Sherehe za Uzinduzi wa Msimu mpya wa Soko la Tumbaku zilizofanyika katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe Lilongwe Malawi.Aprili 24, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika sherehe ya Uzinduzi wa Soko la Msimu mpya wa biashara ya Tumbaku
katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe nchini Malawi.Aprili 25, 2019.
Sehemu
ya Wananchi wa Malawi wakimshangilia kwa nyimbo Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe wa Sherehe ya Uzinduzi wa msimu wa
Soko la biashara ya Tumbaku katika shehere zilizofanyika Kanengo Jijini
Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikabidhiwa zawadi na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter
Mutharika katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe kabla ya kuzindua rasmi
msimu wa Soko la biashara Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika mara
baada ya kumkabidhi zawadi katika sherehe zilizofanyika Kanengo Jijini
Lilongwe kabla ya kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara Jijini
Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
mbele ya Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika na
wananchi wa Malawi katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe kabla ya
kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara Jijini Lilongwe Malawi.Aprili
25, 2019.
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli
akicheza ngoma pamoja na Mke wa Rais wa Malawi Prof.Grtrude Mutharika na
Wanawake wa Malawi katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe wakati wa
sherehe za Uzinduzi wa msimu wa Soko la biashara Jijini Lilongwe
Malawi.Aprili 25, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mwenyeji wake na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika
wakati wimbo wa Taifa wa Tanzania unapigwa katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Kamuzu kabla ya kuanza safari ya kurejea Nchini
Tanzania.Aprili 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua gwaride Lililoandaliwa na Jeshi la Malawi kwaajili ya kumuuga
katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu kabla ya kuanza safari ya
kurejea Nchini Tanzania.Aprili 25, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Mwenyeji wake na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika
katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu kabla ya kuanza safari ya
kurejea Nchini Tanzania. Aprili 25, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga
mkono kumuaga Mwenyeji wake na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur
Peter Mutharika na Wananchi wa Malawi katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Kamuzu kabla ya kuanza safari ya kurejea Nchini
Tanzania.Aprili 25, 2019.
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment