Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Mafinga mara baada ya kuwasili wakati
akitokea Makambako mkoani Njombe.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza kijana Baraka Mwakipesile (Anko Magu) wa Mafinga ambaye
anaigiza sauti ya Rais Dkt. Magufuli mara baada ya kupewa nafasi ya
kuzungumza.
Umati
wa Wananchi wa Mafinga wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao.
Baraka
Mwakipesile (Anko Magu) Kijana anayeigiza sauti ya Rais Dkt. Magufuli
akipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment