Spika
wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mwakilishi wa Umoja wa
Afrika kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa, David
Phiri wakati alipowasili kufungua Kikao chAa Umoja wa Wabunge wa Afrika
ya Mashariki wakuangalia Usalama wa Chakula na Lishe tukio lililofanyika
leo katika hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha. Katikati ni Mwakilishi
kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa nchini Tanzania,
Ndg. Fred Kafeero
Spika
wa Bunge, Job Ndugai akiongozana na Mwakilishi kutoka Shirika la
Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Fred Kafeero
(kulia) wakielekea kwenye Ukumbi wa Mkutano kwa ajili ya mazungumzo
kabla ya Spika Ndugai kufungua Kikao cha Umoja wa Wabunge wa Afrika ya
Mashariki wakuaangalia Usalama wa Chakula na Lishe tukio lililofanyika
leo katika hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha.
Spika
wa Bunge, Job Ndugai (wa pili kulia) akimsikiliza Mwakilishi Umoja wa
Afrika kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa, Ndg.
David Phiri (kulia) wakati akiwa katika chumba cha mapumziko kabla ya
kufungua kikao cha Umoja wa Wabunge wa Afrika ya Mashariki wakuangalia
Usalama wa Chakula na Lishe kilichofanyika leo katika hoteli ya Mount
Meru Jijini Arusha. Kuanzia kushoto ni Mwakilishi kutoka Umoja wa Afrika
Masuala ya Kijamii, Dkt. Margaret Anyetei, Mwenyekiti wa Umoja wa
Wabunge wa Afrika ya Mashariki wakuaangalia Usalama wa Chakula na Lishe,
Dkt. Abdi Hassan na Mwakilishi kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la
Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Fred Kafeero.
Spika
wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Wajumbe Umoja wa Wabunge wa Afrika
ya Mashariki wakuangalia Usalama wa Chakula na Lishe wakati wa kikao
kilichofanyika leo katika hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha.
Wajumbe
Umoja wa Wabunge wa Afrika ya Mashariki wakuangalia Usalama wa Chakula
na Lishe wakiwa katika kikao kilichofanyika leo katika hoteli ya Mount
Meru Jijini Arusha.
Spika
wa Bunge, Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Wajumbe Umoja
wa Wabunge wa Afrika ya Mashariki wakuangalia Usalama wa Chakula na
Lishe tukio lililofanyika leo katika hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha.
(PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment