Matokeo chanyA+ online




Monday, November 18, 2024

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko Akagua Miradi ya CSR ya TPDC Msimbati, Mtwara

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, alifanya ziara wilayani Mtwara, kijijini Msimbati, ambapo alizungumza na wananchi baada ya kukagua majengo ya Kituo cha Afya na Kituo cha Polisi. Vituo hivi vimejengwa kwa kutumia fedha zilizotolewa kupitia Mpango wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Ziara hiyo iliangazia umuhimu wa miradi hii katika kuboresha huduma za afya, usalama, na maendeleo kwa wananchi wa eneo hilo. (Picha na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, 17 Novemba, 2024).





6 comments:

  1. Mama anatujali na kututhamini wananchi wake

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. Hakika haya nimatokeo mazuri chini ya serikali makini ikiongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan

    #sisinitanzani
    #siondototena
    #matokeochanyA+

    ReplyDelete
  4. sekta ya afya sio changamoto tena .hakika ya mama amewajibika ipasavyo kuona huduma za afya zinaimarika nchini. #SisiNiTanzania #HayaNdioMatokeoChanyA #drsamia #Kaziiendelee

    ReplyDelete
  5. Katika sekta ya afya
    Uwepo wa hospitali hizi ni wa msingi katika kujenga jamii yenye afya, kuimarisha maisha ya vizazi vya sasa na vijavyo, na kusaidia maendeleo endelevu

    ReplyDelete
  6. Katika sekta ya afya, mama anahakikisha kila mwananchi anapata huduma bora na za uhakika wakati wowote. #sisinitanzania#siondototena#matokeochanya#ssh#kaziiendelee

    ReplyDelete