Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola akiwa pamoja na Mkuu wa Jeshi la
Polisi Nchini IGP Simon Sirro wakiingia katika ukumbi wa maafisa wa
Polisi Oysterbay leo Jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa mkutano
mkuu wa Baraza la wafanyakazi ndani ya Jeshi la Polisi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola (KUSHOTO) akiwa pamoja na Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (KATIKATI) na Mwenyekiti wa
TUGHE makao Makuu ya Polisi, Dominic Nyoni wakiimba wimbo wa “Solidarity
Forever” katika ukumbi wa maafisa wa Polisi Oysterbay leo Jijini Dar es
Salaam wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa Baraza la wafanyakazi
ndani ya Jeshi la Polisi. Picha na Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment