Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Hamad Masauni, Bungeni jijini Dodoma Mei 6.2019.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Dk Harrison Mwakyembe, Bungeni jijini Dodoma Mei
6.2019.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter
Msigwa, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 6.2019.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wabunge, kwenye viwanja vya Bunge
jijini Dodoma Mei 6.2019. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Mtera Livingstone
Lusinde, Mbunge wa Bukoba vijijini Jason Rweikiza, Mbunge wa Sumve
Richard Ndasa, Mbunge wa Sengerema William Ngeleja.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment