Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa marehemu
Festo Rutamigwa Isokoza alipoongoza waombolezaji kuaaga mwili huo
katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini
Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa
kilimo alifanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile
JKT Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,
alikuwa rafiki mkubwa wa Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea
darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani
Geita na baadaye elimu ya sekondary katika Seminari ya Katoke,
Biharamulo mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakitoa mkono wa pole kwa mjane Mama Anna Isokoza
kuifariji familia ya marehemu Festo Rutamigwa Isokoza alipoongoza
waombolezaji kuaaga mwili wa marehemu katika Hospitali kuu ya Jeshi la
Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15,
2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika
JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na
Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha, alikuwa rafiki
mkubwa wa Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la
kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita na
baadaye elimu ya sekondary katika Seminari ya Katoke, Biharamulo mkoani
Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwasindikiza mjane Mama Anna Isokoza na
familia ya marehemu Festo Rutamigwa Isokoza baada ya kuongoza
waombolezaji kuaaga mwili marehemu katika Hospitali kuu ya Jeshi la
Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15,
2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika
JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na
Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha, alikuwa rafiki
mkubwa wa Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la
kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita na
baadaye elimu ya secondary katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo
mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Mama Janeth Magufuli akiagana na familia ya marehemu Festo
Rutamigwa Isokoza baada ya kuongoza waombolezaji kuaaga mwili marehemu
katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini
Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa
kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile
makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la
Elimu Kibaha, alikuwa rafiki mkubwa wa Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma
pamoja tokea darasa la kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya
Chato mkoani Geita na baadaye elimu ya secondary katika Seminari ya
Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
machache baada ya kuongoza waombolezaji kuaaga mwili marehemu marehemu
Festo Rutamigwa Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa
Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019.
Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na
taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo
kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha, alikuwa rafiki mkubwa
wa Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi
la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita na baadaye elimu ya
secondary katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
waombolezaji baada ya kuongoza hafla ya kuaaga mwili marehemu marehemu
Festo Rutamigwa Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa
Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019.
Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na
taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo
kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha, alikuwa rafiki mkubwa
wa Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi
la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita na baadaye elimu ya
secondary katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri wa zamani Mhe. Edgar Maokola Majogo aliyekuwa
miongoni mwa waombolezaji baada ya kuongoza hafla ya kuaaga mwili
marehemu marehemu Festo Rutamigwa Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi
la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei
15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika
JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na
Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha, alikuwa rafiki
mkubwa wa Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la
kwanza hadi la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita na
baadaye elimu ya secondary katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo
mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na askari baada ya
kuongoza hafla ya kuaaga mwili marehemu marehemu Festo Rutamigwa
Isokoza katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya
Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu,
aliyekuwa mtaalamu wa kilimo aliyefanya kazi katika JWTZ na taasisi
zake za kilimo kama vile makambi ya JKT ya Itende na Mgambo kabla ya
kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha, alikuwa rafiki mkubwa wa
Rais Dkt Magufuli ambaye walisoma pamoja tokea darasa la kwanza hadi
la saba katika Shule ya Msingi ya Chato mkoani Geita na baadaye elimu
ya secondary katika Seminari ya Katoke mjini Biharamulo mkoani Kagera.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment