Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Brigedia Jenerali Abdallah M.
Alphonce na wafanyakazi wa ubalozi huo Bi. Alice Madele na Bi Joyce
Makoye katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe jijini
Harare, kabla ya kupanda ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL)
kurejea nyumbani akitokea Afrika Kusini alikohudhuria sherehe za
kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea
nchini Namibia na Zimbabwe ambako alifanya ziara rasmi ya siku mbili kwa
kila nchi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitelemka
kutoka katika ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) alipowasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Alhamisi Mei 30, 2019 akitokea Afrika Kusini alikohudhuria
sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya
kuelekea nchini Namibia na Zimbabwe ambako alifanya ziara rasmi ya siku
mbili kwa kila nchi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa
(TAKUKURU) Kamishna wa Polisi Diwani Athumani baada ya kutelemka kutoka
katika ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) alipowasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
alhamisi Mei 30, 2019 akitokea Afrika Kusini alikohudhuria sherehe za
kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea
nchini Namibia na Zimbabwe ambako alifanya ziara rasmi ya siku mbili kwa
kila nchi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo alhamisi Mei 30, 2019 akitokea Afrika Kusini alikohudhuria
sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya
kuelekea nchini Namibia na Zimbabwe ambako alifanya ziara rasmi ya siku
mbili kwa kila nchi. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam
Mhe. Paul Makonda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe. Dkt. Emmerson
Mnangagwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe jijini
Harare leo alhamisi Mei 30, 2019 baada ya kuhitimisha ziara yake ya
Afrika Kusini alikohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo
Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea nchini Namibia na Zimbabwe
ambako alifanya ziara rasmi ya siku mbili kwa kila nchi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
gwaride la heshima katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe
jijini Harare kabla ya kupanda ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania
(ATCL) kurejea nyumbani akitokea Afrika Kusini alikohudhuria sherehe za
kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea
nchini Namibia na Zimbabwe ambako alifanya ziara rasmi ya siku mbili kwa
kila nchi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Majenerali wa Jeshi akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe. Dkt.
Emmerson Mnangagwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe
jijini Harare leo alhamisi Mei 30, 2019 baada ya kuhitimisha ziara yake
ya Afrika Kusini alikohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi
hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea nchini Namibia na Zimbabwe
ambako alifanya ziara rasmi ya siku mbili kwa kila nchi.
Rais
wa Zimbabwe Mhe. Dkt. Emmerson Mnangagwa akipeana mikono na kuagana na
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhanga Mpina aliyeongozana na Rais Dkt.
John Pombe Magufuli katika ziara yake ya Afrika Kusini alikohudhuria
sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya
kuelekea nchini Namibia na Zimbabwe ambako alifanya ziara rasmi ya siku
mbili kwa kila nchi jijini Harare leo alhamisi Mei 30, 2019 .
Rais
wa Zimbabwe Mhe. Dkt. Emmerson Mnangagwa akipeana mikono na Ofisa wa
Ubalozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Bi. Joyce Makoye wakati wa
kumsindikiza Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipohitimisha ziara yake ya
Afrika Kusini alikohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo
Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea nchini Namibia na Zimbabwe ambako
alifanya ziara rasmi ya siku mbili kwa kila nchi jijini Harare leo
alhamisi Mei 30, 2019. Wengine ni Bi Alice Madele pamoja na Kaimu Balozi
wa Tanzania nchini humo Brigedia jenerali Abdallah M. Alphonce
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe. Dkt. Emmerson
Mnangagwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe jijini
Harare leo alhamisi Mei 30, 2019 baada ya kuhitimisha ziara yake ya
Afrika Kusini alikohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo
Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea nchini Namibia na Zimbabwe
ambako alifanya ziara rasmi ya siku mbili kwa kila nchi
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment