Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi wa Songwe wakati akielekea kwenye kiwanda cha Saruji cha
Mbeya ambapo aliweka jiwe la msingi la upanuzi wa kiwanda hicho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta
utepe kuashiria upanuzi wa Kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichopo
Songwe.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
Saruji inayotengenezwa na kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichopo Songwe.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment