Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi,
Elias Kwandikwa akiagana na Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa
ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Abdul Pumzimara baada ya kuwajulia hali baadhi
ya majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini
Dodoma. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Miundombinu ya Uchukuzi, Mhandisi.
Thomas NgulikaAjali hiyo imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha
majeruhi 32.(Picha na: Frank Shija – MAELEZO) |
No comments:
Post a Comment