Matokeo chanyA+ online




Sunday, December 8, 2024

MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA







 

6 comments:

  1. Miaka 63 ya uhuru na Matokeo ChanyA katika maendeleo ya miradi.Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa mh Rais dkt Samia Suluhu Hassan imewekeza katika miradi mikubwa ya maendeleo, ikijumuisha barabara, umeme, na maji, ili kuboresha miundombinu ya nchi #HayaNdioMatokeoChanyA #SSH #NaipendaNchiYangu #SisiNiTanzania #SioNdotoTena #mslac #kaziiendeleee

    ReplyDelete
  2. Katika kusherekea miaka 63 ya uhuru na matokeo ChanyA ni pamoja na kuengezeka wa wawekezaji nchini hususan katika kipindi cha uongozi wa dr Samia Suluhu Hassan
    serikali ya awamu ya 6 imefanya juhudi katika uhamasishaji wa uwekezaji hii kutokana kuwa imeongeza juhudi za kuvutia wawekezaji wa ndani na nje, hasa katika sekta za viwanda na kilimo #SisiNiTanzania #NaipendaNchiYangu #SSH #mslac #Sio #kaziiendelee

    ReplyDelete
  3. Miaka 63 ya uhuru, sekta ya michezo pia imeendelea kuimarika zaidi chini ya uongozi wa Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan

    ReplyDelete
  4. Miaka 63 ya Uhuru tulipotoka sipo tulipo sasa hivi. Maendeleo makubwa na yanaonekana mfano miradi ya Miundombinu kama bara bara na SGR sio ndoto tena yote yametimia.
    #ssh
    #sisinitanzania
    #hayandiomatokeochanya
    #mslac
    #snt

    ReplyDelete
  5. Tuliko toka na tulipo sasa tunaona mabadiliko makubwa sana..Hadi kufikia leo hii miaka 63 ya Uhuru tunaona namna Nchi ilivopiga hatua katika kila sekta,Tumeona mapinduzi makubwa katika Sekta ya Uchukuzi,Michezo,Mawasiliano,Afya,Elimu,Ujenzi,mazingira,Maji, n.k..hii ni ishara nzuri kuelekea miaka ijayo,Tunauona mwanga zaidi na mafanikio zaidi Nchini #SisiNiTanzania #SSH #UhuruDay #MSLAC #MatokeoChanya

    ReplyDelete
  6. Katika kusheherekea miaka 63 ya Uhuru kwanza tunajivunia amani na utulivu tuliyonao. Lakini pia tunajivunia uhuru wa kiuchumi ambao unaendelea kukua kila siku kwa mtu mmoja mmoja ila pia kwa nchi nzima kwa kutumia rasilimali tulizonazo. Na pia tunajivunia maendeleo na mapunduzi makubwa ambayo yamefanywa chini ya awamu ya 6. Miradi mbalimbali ambayo yote ni chachu ya maendeleo kwa ajili ya kumkwamua Mtanzania atoke kwenye umasikini.
    #sisinitanzania #matokeochanya #ssh

    ReplyDelete