Spika
wa Bunge la Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya
Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Mhe. Justin
Muturi akiongoza kikao cha Kamati hiyo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar
es Salaam mapema leo. Wa kwanza Kulia ni Katibu wa CPA-Kanda ya Afrika
na ambaye pia ni Katibu wa Bunge la Tanzania Ndg. Stephen Kagaigai na
wanaofuatia upande huo ni Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati hiyo .
Upande wa kushoto ni Wajumbe wa Kamati hiyo na ambao pia ni Wabunge
kutoka Zambia, Uganda,Namibia, Ghana na Kenya.
Spika
wa Bunge la Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya
Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Mhe. Justin
Muturi akiongoza kikao cha Kamati hiyo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar
es Salaam mapema leo. Wakwanza kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la
Cameroon Mhe. Emilia Lifaka. Pia, wanaofutia upande huo ni Wajumbe wa
Kamati hiyo kutoka Bunge la Zambia, Uganda na Namibia.
Katibu wa CPA-Kanda ya Afrika na ambaye pia ni Katibu wa Bunge la
Tanzania Ndg. Stephen Kagaigai (wa kwanza kulia) akizungumza wakati wa
kikao hicho.
Spika
wa Bunge la Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya
Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Mhe. Justin
Muturi akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Cameroon Mhe. Emilia
Lifaka alipowasili kwa ajili ya kikao hicho. PICHA NA BUNGE
No comments:
Post a Comment