Katibu
Mkuu mstaafu Balozi Hebert Mrango akisisitiza jambo wakati wa mafunzo kwa kundi la pili la
waandishi wa habari wanaojengewa uwezo ili waweze wa kuandika na kuripoti
habari za nchi wanachama wa SADC, hayo yamejiri mjini Morogoro Julai 12, 2019
ambapo mafunzo ya kundi la pili kwa waandishi hao yanafanyika kwa siku tatu.
|
No comments:
Post a Comment