Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaa
Kaunda suti), akisikiliza maelezo kutoka kwa Mrakibu Muandamizi wa
Uhamiaji, Bakari Mohammed Ameir, wakati wa ziara ya kukagua shughuli za
Ulinzi na Usalama zinavyoendelea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Abeid Amani Karume, Visiwani Zanzibar.Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na
Waandishi wa Habari wakati wa ziara ya kukagua shughuli za Ulinzi na
Usalama zinavyoendelea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume, Visiwani Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili
kulia), akiangalia mashine itakayotumiwa na Idara ya Uhamiaji ikiwa ni
utekelezaji wa mabadiliko ya teknolojia kutoka pasi za zamani za
kusafiria kwenda kadi za kusafiria za kielektroniki, alipotembelea
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,Visiwani
Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipita kwenye
mashine ya ukaguzi wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za
Ulinzi na Usalama ,alipotembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume, Visiwani Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
No comments:
Post a Comment