Mkuu wa wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Muro wenyeviti wa vijiji na vitongoji pamoja na maafisa watendaji wa kata na vijiji |

Mkuu wa wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Muro ametoa siku 3 kwa wenyeviti wa vijiji na vitongoji pamoja na maafisa watendaji wa kata na vijiji kujieleza kwa nini wasichukuliwe hatua kwa kushindwa kusoma taarifa za mapato na matumizi pamoja na taarifa za maendeleo ya vijiji
Dc Muro amewalekeza wakurugenzi wa Halmashauri ya Arusha Dkt. Charles Mahera pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru Ndugu Emannuel Mkongo kuwachukulia hatua kali za kinidhamu watendaji ambao ndani ya siku tatu watabainika walizembea kwa makusudi kutosimamia uandaaji na usomaji wa taarifa hizo kutokana na kubaini kuwepo kwa vijiji ambavyo kwa zaidi ya miaka 3 sasa hawajawai kusoma taarifa hizo kwa wananchi.
Dc Muro amezungumza maneno hayo katika zaira ya kata ya Sing’isi na Nkwaranga ambapo anaendelea na ziara za kata 53 katika Ukaguzi wa miradi ya Maendeleo pamoja na kutatua kero Sugu za wananchi.

No comments:
Post a Comment