Rais
Mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki (wa pili kulia) akiwa katika
mazungumzo na Waziri Mstaafu, Prof. Mark Mwandosya, Balozi Mstaafu Juma
Mwapachu (kulia) pamoja na Balozi Mstaafu Ami Mpungwe walipokutana
jijini Dar es salaam hivi karibuni. wa pili kushoto ni Max Boqwana,
Afisa Mtendaji Mkuu wa Thabo Mbeki Foundation.
No comments:
Post a Comment