Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akiwasili Ruangwa mkoani Lindi leo
tarehe 15/11/2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akikata utepe kuashiria
ufunguzi wa barabara ya Nanganga- Ruangwa sehemu ya Kitandi-Ruangwa km 5
iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha Lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Ruangwa mara baada ya ufunguzi wa barabara ya
Nanganga- Ruangwa sehemu ya Kitandi-Ruangwa km 5 iliyokamilika kujengwa
kwa kiwango cha Lami. Kulia ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wakiweka jiwe la msingi mradi wa
Ujenzi wa Ghala la Mazao Ruangwa mkoani Lindi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi
wa Ujenzi wa Ghala la Mazao Ruangwa mkoani Lindi. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment