Naibu
Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na Watumishi wa Umma wa Mkoa wa
Simiyu (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi kilichofanyika katika
ukumbi wa Shule ya Msingi Bariadi Alliance mkoani Simiyu.
Baadhi
ya Watumishi wa Umma kutoka Mkoa wa Simiyu wakimsikiliza Naibu Waziri,
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt.
Mary Mwanjelwa (Mb) (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza wakati wa
kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi wa Shule ya Msingi Bariadi
Alliance mkoani Simiyu.
Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mataka (kushoto) akimkaribisha Naibu
Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) alipotembelea ofisini kwake kabla ya kikao kazi
na Watumishi wa Umma wa Mkoa wa Simiyu kilichofanyika katika Shule ya
Msingi Bariadi Alliance mkoani Simiyu.
Katibu
Msaidizi Ajira na Nidhamu, Tume ya Utumishi wa Umma Bi. Celina Maongezi
akiwasilisha mada, wakati wa kikao kazi kati ya Naibu Waziri, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary
Mwanjelwa (Mb), Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma na Watumishi wa
Mkoa wa Simiyu kilichofanyika katika Shule ya Msingi Bariadi Alliance
mkoani Simiyu.
Katibu
Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini akitoa ufafanuzi wa hoja,
wakati wa kikao kazi kati ya Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) (kushoto),
Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma na Watumishi wa Mkoa wa Simiyu
kilichofanyika katika Shule ya Msingi Bariadi Alliance mkoani Simiyu.
Naibu
Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) (kushoto) akiteta jambo na Katibu Tawala
wa Mkoa wa Simiyu, Jumanne Sagini wakati wa kikao kazi kati yake na
Watumishi wa Mkoa wa Simiyu kilichofanyika katika Shule ya Msingi
Bariadi Alliance mkoani Simiyu.
No comments:
Post a Comment