Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia kitabu,
wakati akitembelea mabanda, kabla ya kufungua Maonesho ya Wiki ya Asasi Zisizo
za Kiserikali 2019, yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma, Novemba
4.2019. Kutoka kushoto ni Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Vickness
Mayao, Mkurugenzi Mtendaji wa Wajibu Ludovick Utouh, Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). |
No comments:
Post a Comment