Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Job Ndugai, akifurahi jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Nabimia na Mwakilishi
wa CPA Kanda ya Kusini,Mhe.Benard Sibalatani (Kulia) na Spika wa Bunge la Kenya
na Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika, Mhe. Justine Muturi(kushoto), mara ya
kuwakaribisha Katika Ofisi ndogo za Bunge zilizoko Jijini Dar es Salaam, kwenye
Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya
Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.
|
No comments:
Post a Comment