Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia ramani ya maboresho ya Mkoani Hotel, iliyopo katika Wilaya ya Chakechake Pemba, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Unguja na Pemba. Januari 17, 2020. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua mradi wa maboresho ya Mkoani Hotel, iliyopo katika Wilaya ya Chakechake Kusini Pemba. Januari 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment