Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed. Shein akizungumza
na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, wakati
wa kuwasilisha Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi
Disemba 2019 /2020, uliofanyika ukumbi wa Ikulu 19-2-2020, Jijini
Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na
Mambo ya Kale Zanzibar.Bi. Khadija Bakari Juma, akiwasilisha taarifa ya
Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara yake kwa mwezi wa Julai hadi
Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,
kushoto Naibu Katibu Mkuu Dkt. Saleh Yussuf Mnemo.
Wakurugenzi wa
Idara na Mashirika ya Wizara ya Habari wakifuatilia mkutano huo wa
uwasilishaji wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yao kwa mwezi wa
Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar.
Maofisa wa Idara na
Mashirika ya Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar,
wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai
hadi Disemba 2019 /2020, wakati ikiwasilishwa taarifa hiyo na Katibu
Mkuu.Bi. Khadija Bakari Juma(hayupo pichani)
Waziri wa Habari
Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akiwasilisha
muktasari wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai
hadi Disemba 2019 /2020, (kulia) Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utalii
na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe. Choum Kombo Khamis.
Waziri wa Habari
Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akiwasilisha
muktasari wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai
hadi Disemba 2019 /2020, (kushoto )Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa
Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na (kulia) Naibu Waziri
wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe. Choum Kombo Khamis
Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo
Zanzibar Dkt. Juma Mohammed Salum akijibu swali wakati wa mkutano wa
Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale,
kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani)
No comments:
Post a Comment