Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) akimsikiliza Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi
kabla ya kutembelea na kujionea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya
Wasichana ya Bunge ya kidato cha tano na sita iliyopo Kikombo Wilayani
Chamwino Mkoani Dodoma. Kushoto ni Kamishna Mkuu wa TRA, Dkt. Edwin
Mhede, Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mipango na Katibu
wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai
Spika
wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na wageni mbalimbali kutoka
Serikalini, Watumishi wa ofisi ya Bunge na kamati ya ujenzi wa Shule ya
Sekondari ya Wasichana ya Bunge ya kidato cha tano na sita wakati
walipotembelea na kujionea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya
Bunge iliyopo Kikombo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Kuanzia kushoto
ni Kamishna Mkuu wa TRA, Dkt. Edwin Mhede, Waziri wa Fedha na Mipango,
Mhe. Dkt. Phillip Mipango na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi na Katibu wa Bunge, Ndg.
Stephen Kagaigai
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akitambulisha kamati maalum ya ujenzi ya
Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bunge ya kidato cha tano na sita
(kulia) wakati walipotembelea na kujionea ujenzi wa Shule ya Sekondari
ya Wasichana ya Bunge iliyopo Kikombo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma.
Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen
Kagaigai, Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mipango na
Kamishna Mkuu wa TRA, Dkt. Edwin Mhede. Wengine ni watumishi wa Ofisi ya
Bunge na Serikalini
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (mwenye tai nyekundu mbele) katika picha ya
pamoja na Watumishi kutoka ofisi ya Bunge pamoja na Serikalini
walipotembelea na kujionea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya
Bunge ya kidato cha tano na sita iliyopo Kikombo Wilayani Chamwino
Mkoani Dodoma. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Fedha na
Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mipango (kushoto kwake), Kamishna Mkuu wa
TRA, Dkt. Edwin Mhede (wa pili kushoto mbele) na Katibu wa Bunge, Ndg.
Stephen Kagaigai (wanne kushoto mbele)
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment