Matokeo chanyA+ online




Thursday, May 7, 2020

MLOGANZILA YAPOKEA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA (COVID-19)

Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, Dkt. Julieth Magandi (kushoto) akipokea msaada wa vifaa mbalimbali kutoka kwa mwakilishi wa Taasisi ya Helping Hands Bi. Fedhiya Khatib
Dkt. Magandi na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi MNH-Mloganzila Sr. Redemptha Matindi wakionyesha nguo ya kujikinga (PPE) lililokabidhiwa hospitalini hapa.

No comments:

Post a Comment