Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya
nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria
Nyerere wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi Ofisi
za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akikata utepe na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan
Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa
Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Mjane wa Baba wa Taifa Mama
Maria Nyerere kuashiria uzinduzi wa Mitambo na magari yatakayotumika
katika ujenzi wa Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo
tarehe 30 Mei 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa ameshika Chepe ili kuweka zege na Rais Mstaafu wa Awamu
ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu
Benjamin Mkapa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi Ofisi za Ikulu
ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza jambo la Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya
Kikwete mara baada ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Ikulu ya Chamwino.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
pamoja Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne
Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere
wakisikiliza maelezo kuhusu ujenzi wa Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere wakielekea
kwenye uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Ofisi za ikulu ya chamwino
mkoani Dodoma
No comments:
Post a Comment