Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais
 Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM upande wa Zanzibar Rais wa 
Zanzibar Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa Kikao cha 
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani
 Dodoma


 
Mungu awalinde wakati wote awape Neema na Afya njema
ReplyDeleteAllah ajaalie maelewano na kikao chenye tija
ReplyDeleteSafi sana
ReplyDeleteSafi sana
ReplyDelete