PROF. NDALICHAKO ACHUKUA FOMU JIMBO LA KASULU MJINI
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako, leo Julai 14, 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa chama chake ili kiweze kumteua, aweze kugombea Ubunge katika jimbo la Kasulu Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi
No comments:
Post a Comment