Murugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
(NEC), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akizungumza na watumishi wa NEC ambao
wamehamia Ofisi mpya za Makao Makuu ya Ofisi hiyo yaliyopo Njedengwa Jijini
Dodoma jana. Awamu ya kwanza ya watumishi wa NEC wamehamia Dodoma wiki hii. (Picha
na NEC).
Watumishi katika Ofisi ya Tume ya 
Uchaguzi (NEC)
wakimsikiliza Murugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera (hayupo 
pichani) wakati
akizungumza na watumishi waliohamia kwa awamu ya kwanza  katika ofisi 
mpya za Makao Makuu tume  yaliyopo Njedengwa Jijini Dodoma jana. (Picha
na NEC).
No comments:
Post a Comment