Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Makoga Jimbo la Wanging'ombe Wilaya ya Makete alipokuwa njiani akielekea Makete Mjijni kwa ajili ya kuendelea na mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 21,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wanachama wa
Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Ikonda Tandala Makete alipokuwa
njiani akielekea Jimbo la Makete Mjini kwa ajili ya kuendelea na mikutano ya kampeni
za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 21,2020.
No comments:
Post a Comment