Spika
wa Bunge, Job Ndugai (watatu kulia) akikata utepe wakati akizindua
jengo la Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Wilaya ya Manyoni
Mkoani Singida. Watatu kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George
Mkuchika, Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, Mhe. Rahabu Mwagisa (wapili
kushoto), Mkurugenzi wa Uzuiaji Rushwa kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa
TAKUKURU, Ndg. Sabina Seja (wapili kulia) na Mbunge wa Manyoni
Magharibi, Mhe. Yahaya Masare.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Spika
wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na viongozi wa wilaya, watumishi wa
TAKUKURU na wageni mbalimbali kabla ya kuzindua jengo la Taasisi ya
kuzuia na kupambana na Rushwa Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika akizungumza na watumishi wa
TAKUKURU na wageni mbalimbali (hawapo kwenye picha) kabla ya uzinduzi wa
jengo la Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa Wilaya ya Manyoni
Mkoani Singida.
Mkurugenzi
wa uzuiaji Rushwa kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Ndg. Sabina
Seja akizungumza na viongozi wa wilaya, watumishi wa TAKUKURU na wageni
mbalimbali (hawapo kwenye picha) kabla ya uzinduzi wa jengo la Taasisi
ya kuzuia na kupambana na Rushwa Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida.Spika
wa Bunge, Job Ndugai akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati
alipowasili kwa ajili ya kuzindua jengo la Taasisi ya kuzuia na
kupambana na Rushwa Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida.
Spika wa Bunge,
Job Ndugai (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na watumishi wa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa baada ya kuzindua jengo la
Taasisi hiyo Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida. Wapili kushoto waliokaa
ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika, Mkuu wa Wilaya ya
Manyoni, Mhe. Rahabu Mwagisa (kushoto waliokaa) na Mkurugenzi wa Uzuiaji
Rushwa kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Ndg. Sabina Seja
(wapili kulia waliokaa)
No comments:
Post a Comment