Mhandisi
wa Kampuni inayojenga Mtambo wa kuzalisha umeme katika Mto Kagera
akitoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mtambo huo kwa Katibu Mkuu
wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi
Brig. Gen. Wilbert Ibuge
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akiuliza maswali kwa wahandisi
wanaojenga mradi wa kuzalisha umeme katika Mto Kagera.
Sehemu ya Eneo unapojengwa Mtambo wa Kuzalisha Umeme katika Mto Kagera.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akipokelewa na Mkuu wa Kituo cha Huduma
kwa Pamoja Mpakani cha Mutukula, alipowasili kwenye kituo hicho kujionea
shughuli zinavyoendelea.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akikagua ubora wa mashine ya kukagulia
mizigo iliyofungwa katika Kituo cha Huduma kwa Pamoja cha Mutukula.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akiongea na mmoja wa wafanyakazi wa
Kituo cha Hudum kw Pamoja Mpakani cha Mutukula.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akisaini kitabu cha kabla ya kuanza
kikao na watumishi wa Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani cha Mutukula.
Mkurugenzi
wa Miundombinu kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Kamugisha
Kazaura akitoa maelezo namna EAC inavyoratibu upatikanaji wa fedha kwa
ajili ya kutekeleza miradi ya kikanda.
Ujenzi wa Mtambo wa Kuzalisha Umeme katika Mto Kagera
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya
kuwasili kwenye eneo unapojengwa Mtambo wa Kuzalisha Umeme katika Mto
Kagera.
Balozi
wa Tanzania nchini Burundi, Mhe. Dkt. Jilly Maleko akisaini Kitabu cha
Wageni mara baada ya kuwasili kwenye eneo unapojengwa Mtambo wa
Kuzalisha Umeme katika Mto Kagera.
OSBP ya Rusumo
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akisalimiana na watumishi wa Kituo cha
Kutoa Huduma kwa Pamoja Mpakani cha Rusumo, mara baada ya kuwasili
kituoni hapo kwa ziara ya kikazi.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akiongea na Mtalaam wa Afya katika Kituo
cha Huduma kwa Pamoja Mpakani cha Rusumo.
Mkuu
wa Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani cha Rusumo, Bw. Jackson Mushi
akitoa taarifa ya utekelezaji wa kituo hicho kwa Katibu Mkuu wa Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen.
Wilbert IbugeA
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akiongea na watumishi wa Kituo cha
Huduma kwa Pamoja Mpakani cha Rusumo
Watumishi
wa Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani cha Rusumo wakiwa katika kikao
na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge.
Mkurugenzi
wa Miundombinu kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Kamugisha
Kazaura na Msaidizi wa Katibu Mkuu, Bw. Hangi Mgaka wakitabasamu akati
wa kikao cha briefing kwenye Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani cha
Rusumo.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge, Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Dkt.
Jilly Maleko, Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,
Mhandisi Steven Mlote pamoja na ujumbe wao akitemb kwa miguu kuelekea
katika Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja Mpakani cha Rusumo.
Malori yakiwa katika foleni ya ukaguzi katika Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja Mpakani cha Rusumo.
Bango la kutoa elimu kuhusu wafanyabiashara wadogo wanavyoweza kufanya shughuli zao katika nchi a EAC bila usumbufu.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge na ujumbe wake wakiwa katika picha ya
pamoja na watumishi wa Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani cha Rusumo.
No comments:
Post a Comment